Mbunge wa vijana apokea tuzo kwa kutetea haki za wanawake na wasichana.
Mbunge wa vijana Mheshimiwa Maria Kangoye wa jijini Mwanza amepkea tuzo kwa kutetea haki za wanawake na wasichana wanao athrika na HUMAN TRAFFIC, wanaopelekwa nchi zingne kwa kufanyiwa biashara za kuuza miili. "We are proud of you"
No comments:
Post a Comment