Tuesday, October 24, 2017

KILICHOJILI KONGAMANO LA ELIMU CHUO CHA SAUTI HII LEO TAR 24/10/2017

Na Mwandishi  Davis Peter

KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA MWANZA NDG.RAYMOND MWANGWALA AKIWA NA PROF.PATRICK LUMUMBA KATIKA KONGAMANO LA MAPROFESSOR,MADOCTOR,WANAVYUO KUTOKA VYUO MBALIMBALI MKOA WA MWANZA NA WAKUFUNZI KUTOKA KATIKA VYUO  MBALIMBALI KAMA KENYA,UGANDA ZAMBIA NA NCHI ZINGINE.WALIOHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILO LILILOKUWA.

MAIN TOPIC-EDUCATION FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT(MAIN SPEAKER-PROF PATRICK LUMUMBA) AKISAIDIANA NA VICE CHANCELLOR WA CHUO CHA ST AUGUSTINE PAMOJA NA DVCAA WA CHUO HICHO. AIDHA KATIBU WA CHAMA MKOA ALIAMBANA NA VIJANA KINDAKI NDAKI WA CCM COMRED ALPHONCE KALIGILWA(MWENYEKIT SENET MKOA WA MWANZA) NA SERVANT DAVIS PETER(KATIBU HAMASA SENET MKOA WA MWANZA) AMBAO PIA WALIHUSIKA KWA KARIBU SANA KATIKA KUANDAA NA KUFANIKISHA KONGAMANO HILO LA WANAZUONI LILILOFANYIKA KATIKA CHUO CHA SAUT MWANZA .

SAMBAMBA NA HILO PROF PATRICK LUMUMBA AMEMPONGEZA SANA RAIS WA TANZANIA NA KUMWAMBIA KATIBU WA CHAMA KUWA  ANAPENDEZWA SANA NA KASI YA MAENDELEO INAYOLETWA NA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI AKITOLEA MFANO DARAJA KUBWA LA FURAHISHA MWANZA,DARAJA LINALOTARAJIWA KUJENGWA LA BUSISI NA UZIBITI WA RASILIMALI ZA NCHI KAMA MADINI.MWISHO ALISEMA AFRIKA ITABADILISHWA NA WAAFRICA WENYEWE KUPITIA VIONGOZI WAZALENDO KAMA RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. MUNGU IBARIKI AFRIKA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.



No comments:

Post a Comment