Wednesday, November 1, 2017

TAARIFA MAALUM KWA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WALIOKO MKOA WA MWANZA NA MIKOA MINGINE

 Mwandishi na Devis Peter
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Idara ya vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Mwanza ukishirikiana na UVCCM mkoa wa Mwanza Chini ya Bi Mariam Amiry Unapenda kuwajulisha wanazuoni wote,wadau mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali ambao niwapenzi wa Chama Cha Mapinduzi Kwa pamoja Tunawakaribisha sana katika kambi ya siku Tatu itakayofanyika kuanzia siku ya Ijumaa hadi Jumapili Tare 3-5.11.2017
  
Kambi hiyo itahudhuliwa na Viongozi Mbalimbali wa Kitaifa na itafunguliwa Rasmi na Comred Humphrey Polepole-Katibu NEC Itikadi na Uenezi Taifa Na Comred Daniel Zenda Kiongozi wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Taifa na Kutoka Mwanza tutakuwa na Viongozi mbali mbali wakiwemo wabunge,mawaziri wa ccm Pamoja na Katibu wa Ccm Mkoa wa Mwanza Ndgu Raymond Mwangwala.

Hivyo basi Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mwanza Kwa Kushirikiana Na Uvccm wenyeviti Wa  Wilaya Na Makatibu wa wilaya Tunapenda kuwajulisha wale wote watakaokuwa tayari kushiriki kupiga siku no.0768104893- AU 0768078360/0767-717776 Ili tuweze kuwapatia maelekezo ya namna ya kushiriki Katika kambi hiyo kwani Tunatajia Kuwa na washiriki miatano na Chakula na maradhi ni Bure isipokuwa washiriki watapaswa kugharamia Elfu mbili (Tsh 2,000 ) kwa ajili ya Vyeti vyao na Kuwa na Sare za Ccm hayo ndio masharti ya Lazima Mwisho wa kupokea washiriki wa njia ya simu ni Tarehe 2.11.2017 saa11.00 jioni.

MWISHO

LENGO KUU LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA IDARA ZA VYUO NA VYUO VIKUU KWA PAMOJA NA VIJANA WOTE WA CCM KUWA WAZALENDO WA NCHI YAO KUITAMBUA VIZURI MISINGI YA CCM KUIISHI SAWA SAWA NA LENGO KUU LA KUWEPO KWA MISINGI HIYO PIA KUTAMBUA NCHI YETU NA CHAMA CHETU WAPI "TULIPOTOKA TULIPO NA TUNAKOKWENDA" SAMBAMBA NA KUWAANDAA KUWA VIONGOZI WAADILIFU WA SASA NA BADAE.Asante sana Imetolewa na Katibu Hamasa vyuo na vyuo Vikuu Mkoa wa Mwanza Servant DAVIS PETER Kwa kushirikiana na Uvccm mkoa wa Mwanza Chini ya Bi Mariam Amiry. 

CCM MPYA TANZANIA MPYA CCM (UZALENDO KWANZA KWA FAIDA YA CCM NA TAIFA LETU).KARIBUNI SANA.








No comments:

Post a Comment