Thursday, October 12, 2017

UVCCM MKOA WA MARA YATOA MAELEKEZO NAMNA YA KUADHIMISHA NYERERE DAY

Ndgu zangu kesho tar 13 /10/2017 umoja wa vijana wa ccm mkoa wa utaadhimisha nyerere day wilaya ya butiama eneo la mwitongo mahali  alipozikwa Baba wa Taifa   kwa kufanya usafi na kupanda miti shughuli hiyo itaongozwa na m/kiti wa vijana mkoa ndg Ditu Babu Manko Mimi nitakua safarini kuelekea Dar kutekeleza majukumu . Aidha shughuli hiyo itahusisha pia vijana wa JKT ambao  wamekubali kuja kutuunga mkono niwatakie kila la kheri.

No comments:

Post a Comment