Monday, December 11, 2017

HONGERA SANA MWENYEKITI MPYA WA UVCCM TAIFA - KHERI JAMES.

Hongera sana Comrade Kheri  James kwa Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya UVCCM Taifa. UVCCM imepata mtu sahihi, atatuvusha. Binafsi namfahamu vizuri  toka akiwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza. Sina  Mashaka naye Kabisa,   Tuvunje Makundi yetu yote Tuungane naye tuchape kazi sasa.

Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, Busara zake na Maarifa yake utuongoze vyema. Binafsi naahidi kukupa Ushirikiano wa Kutosha ili kuhakikisha UVCCM inabaki kuwa Imara. Hongera sana kamanda.


No comments:

Post a Comment