Mwenyekiti wa vijana mkoa wa mwanza,katibu ,mbaraza na wajumbe wengine wakiwa katika ziara ndan ya wilaya ya Nyamagana kata ya Mkolan kuzungumzia maswala mbalimbali ikiwemo swala la usalama , kutoa maagizo vijana kushiriki kikamilifu katika swala la ulinzi na usalama na kuweza kukomesha mauaji yanayo endelea na kubaini wahalifu sambamba na kutoa taatifa kwa jeshi la polisi.
Aidha Uongozi umewasisitiza Vijana umuhimu wa kupata 5% fedha inayotakiwa kutengwa na Halmashauri zote kwa ajili ya kunufaisha Vijana.






No comments:
Post a Comment