Anaripoti Hussein Kimu.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa mwanza Comrade Jonasi Rufungulo leo tarehe 12/2/2018 amekutana na vijana wa kata ya Nyamagana (w) Nyamagana Mkoa wa mwanza katika kikao cha ndani cha UVCCM .
Mwenyekiti amepokea wanachama kumi na saba (17) toka Chadema na kujiunga na chama cha mapinduzi
Mwenyekiti amekagua utekelezaji wa asilimia tano (5%) ya fedha za vijana toka halimashauri ya jiji la mwanza
Amejilizisha na kumpongeza Diwani wa kata ya Nyamagana ambae ni Naibu Meya wa jiji la mwanza Mhe Biku Kotecha kwa kusimamia vizuri na kuwajali vijana.

Mwenyekiti ameshirikiana na Diwani, viongozi wa UVCCM (w) Nyamagana nakugawa kadi za uvccm na vifaa vya Ofisi kwenye matawi yote ya kata ya Nyamagana.
Mwenyekiti amewahimiza vijana kufanya kazi na kujituma kwa bidii ilikwendana na falsafa za mwenyekiti wetu wa ccm Taifa kufanya kazi (HAPA KAZI).
Mwenyekiti alimalizia kwa kuwaomba vijana sasa ni mda wa kufata maelekezo ya mwenyekiti wetu wa vijana Taifa Comrade Kheri D James.
TUKUTANE KAZINI
KATIBU HAMASA NA CHIPKIZI MKOA WA MWANZA >> Hussein Kimu

No comments:
Post a Comment