Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula amejumuika na mamaia ya wakazi wa Mkoa wa Mwanza kuhudhulia mazishi ya Sarah Ngosha mama yake Mbunge wa Jimbo la Sunve mhe Ndassa wilayani Kwimba hivi leo.Mhe Mabula alipata fursa ya kutoa salamu za rambi rambi pamoja na kushiriki maziko.
Raha ya Milele umpe Sarah na Mwanga wa Milele umwangazie mama yetu mpendwa. Apumzike kwa Amani. Amen
Imetolewa na,
Ofisi ya Mbunge,
Jimbo la Nyamagana





No comments:
Post a Comment