Sunday, May 13, 2018

VIONGOZI WA CCM (W) NYAMAGANA WAPEWA SEMINA

Katibu wa ccm mkoa wa mwanza mwalimu Raymond  Magwara  ameendesha semina elekezi kwa wajumbe wa halimashauri kuu ya ccm (w) Nyamagana leo tarehe 13/5/2018

Katibu amefundisha mambo mhimu yote ikiwemo  namna ya viongozi kujitambua na kujua ITIFAKI  zote  kama viongozi

Katibu alisisitiza mabadiliko yenye kuleta tija ndani ya chama na jamii yote ilikuongeza ufanisi wenye kuzaa matunda ndani ya chama na serikari  .






No comments:

Post a Comment