Baraza
Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kuwa sikukuu ya Eid
El-Fitr itakuwa siku ya Jumatano Juni 5 au Alhamisi 06 Juni
2019,kutegemeana na kuandama kwa mwezi.
Sherehe za Eid El-Fitr kitaifa zitafanyika Tanga ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu Majaliwa .


No comments:
Post a Comment