Friday, March 13, 2020

MWENYEKITI UVCCM MWANZA COMRADE JONAS LUFUNGULO ATANGAZA MASHINDANO YA MISS UVCCM MKOA WA MWANZA


Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza chini ya Mwenyekiti wake Comrade Jonas Lufungulo wanakutangazia mashindano ya Miss Uvccm yanayotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi Machi 28, 2020 katika ukumbi wa Isamilo Lodge.

Fomu za ushiriki zinapatikana katika ofisi zote za makatibu wa Uvccm za wilaya na ofisi za matawi ya vyuo na vyuo vikuu vilivyopo mkoa wa Mwanza kwa makatibu, Pia unaweza kuzipakua moja kwa moja, kuzijaza na kuzirejesha kupitia simu yako ya mkononi au kompyuta kwa kutembelea Blog ya UVCCM mwanza

Pakua Form Ya Ushiriki Hapa

Wote mnaombwa kujitokeza  kushiriki




No comments:

Post a Comment