WAPIGA KURA 37,647,235 KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs
Mwambegele akizungumza na wananchi wakati akisoma risala yake kuhusu
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotaraji kufanyika Oktoba
29, 2025.
No comments:
Post a Comment