Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando Afikishwa Mahakamani
Aliyekuwa
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Tido Mhando
amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma
za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.
No comments:
Post a Comment