Thursday, January 25, 2018

ZIARA YA MWENYEKITI UVCCM MKOA WA MWANZA 20 - 25 JAN 2018


Ziara ya M/kiti UVCCM ndgu Jonas Lufungulo mkoa wa Mwanza katika wilaya zote za mkoa wa Mwanza akiambatana na katibu wake Bi Mariam Amiry,mjumbe wa baraza kuu la vijana Taifa Mkoa wa Mwanza Kashilimu Richard na wakiambatana wajumbe wengine katika kufanya kazi..


WakiKutana  kazini na Vijana katika wilaya zao kuimarisha Jumuiya na kujenga chama sambamba na kusisitiza umuhimu wa vijana juu ya 5% na kuhimiza undwaji wa vikundi na vijana kujiimarisha kiuchumi.

HAPA KAZI TU,.

TUKUTANE KAZINI



No comments:

Post a Comment