MAPOKEZI YA KHERI JAMES JIJINI MWANZA YAZIDI KUPAMBA MOTO
katibu wa UVCCM Mwanza Ndugu Mariam aongoza mapokezi katika wilaya mbalimbali ndani ya mkoa wa Mwanza zajitokeza kumpokea Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri James na Makamu Mwenyekiti Ndugu Tabia Maulid
No comments:
Post a Comment