Sunday, January 21, 2018

UTOFAUTI WA SERA ZA CCM NA UKAWA UCHAGUZI WA SIHA NA KINONDONI

*UCHAGUZI WA SIHA & KINONDONI..*
                 _sera_

*CCM...*

- Elimu Bure
-Kupinga Rushwa/Ufisadi
-Kupinga Madawa ya kulevya
-Standard gaje
-Ujenzi wa Reli & tren
-Serikali kuhamia Dodoma
Ununuzi wa Ndege
-Bomba la Mafuta
-Nidhamu serikalini 🤝

*UKAWA*

- Kupigwa bunduki lisu
- Kuzuiwa kusema
- kupotea saa nane
- kununuliwa viongozi wao
- Tundu Lissu Ikulu🤧🤧

*TUNAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA WANA SIHA & KINONDONI*

# Mwenye macho haambiwi tazama #
# Wala mwenye masikio haambiwi sikia #

# tukutane kazini

No comments:

Post a Comment