M/kiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Komred Kheri James,Amewasili mkoani Dodoma mapema hii Leo kwa lengo la kumjulia hali Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chamwino ndugu Abdullah Omar ambae alinusurika ktk ajali ya moto iliotokea mapema wiki hii.Katika ajali hiyo makazi ya Mwenyekiti Abdallah Omar yameteketea kabisa,hakufanikiwa kuokoa kitu chochote na ameungua viungo mbalimbali vya mwili kutokana na ajali hiyo.
"Tunamuomba Mungu amponye ndugu yetu,na amjaalie afya bora zaidi"
"Tunamuomba Mungu amponye ndugu yetu,na amjaalie afya bora zaidi"
#Tukutane kazini...


No comments:
Post a Comment