Saturday, June 16, 2018

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  imeongeza muda wa usajili wa watoa huduma za maudhui mitandaoni hadi Juni 30, mwaka huu.

Awali, siku ya mwisho ya kujisajili ilikuwa Juni 15. Taarifa iliyotolewa jana jioni na mkurugenzi mkuu wa TCRA, James Kilaba ilisema wale ambao hawajajisajili wanatakiwa kufanya hivyo kabla ya Juni 30.

No comments:

Post a Comment