Wednesday, August 22, 2018

Dkt Angelina Mabula Awataia Kheri na Fanaka Waislamu Wote na WaTanzania kwa ujumla siku kuu ya Eid el Hadj

Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula inawatakia kheri na fanaka waislamu wote na waTanzania kwa ujumla katika kusheherekea Siku kuu ya Eid el Hadj

Aidha tunaaswa kudumisha amani, mshikamano na upendo baina yetu.

' Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga '

Imetolewa na
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Ilemela
22.08.2018

No comments:

Post a Comment