Leo ni siku ya pili tangu Semina ya
Ujasiriamali ianze.
Watoa Semina
wakiongozwa na Kenani Kihongosi ambaye pia ni M/Kiti wa UVCCM Mkoa wa
Iringa ameendelea kutoa Mafunzo .
Mkufunzi
Kenani Kihongosi amefundisha mambo mengi kama vile
Utengenezaji wa Sabuni ya Maji,Kilimo cha Kitungu Maji na Kilimo cha tikiti
Maji.
No comments:
Post a Comment