Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula anawatakia kheri wanafunzi wote wa darasa la Saba wanaotarajia kuanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi siku ya Jumatano 05-06 Septemba, 2018.
Aidha anawaasa wahitimu hao kuwa waadilifu na kuzingatia taratibu zote za mitihani ili kupata wahitimu wenye weredi wa hali ya juu na wataalamu wa baadae au viongozi ambao hawatatiliwa shaka.
' Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga '
Imetolewa na
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Ilemela
04.09.2018

No comments:
Post a Comment