Umoja
wa Vijana CCM Mkoa wa Mwanza umeandaa kongamano la ujasiriamali ambalo
limeanzaa leo tarehe 17 september 2018 na litahitimishwa tarehe 19 september
2018.
Mgeni
Rasmi ambaye ni M/Kiti UVCCM Taifa Mh
Kheri Denis James amefungua Semina hii
ya Ujasiriamali.
Katika
ufunguzi Mgeni Rasmi amewapongeza viongozi wa UVCCM Mkoa wa Mwanza kuandaa
Semina hii kwani ni moja ya agizo
alilolitoa toka aingie madarakani.
Aidha
mbali na mambo mengi aliyoyazungumza amesasisitiza Vijana wote kuhakikisha wanayafanyia kazi yote
watakayojifunza kuanzia leo tarehe 17 /9/2018.
“Hakuna
mafanikio yanayokuja bila jasho, ukioa mke hafu hufanyi kazi utabeba watoto
wasio wako ila ukioa mke na unafanya kazi utabeba watoto wako.”
Amesema KheriDenis James
No comments:
Post a Comment