UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM MKOA WA MWANZA)
Mapema leo umeendelea na ziara yake ya kuendelea kuimarisha jumuiya katika wilaya ya magu
wakipokelewa na wenyeji wao ambao ni mwenyekiti wa UVCCM MAGU Comrade Ayoub Bindule Mandazi na katibu wake Comrade Shekhe Mamba pamoja na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa UVCCM MAGU
Viongozi wa UVCCM MKOA WA MWANZA wakiongozwa na mwenyekiti wa UVCCM MKOA WA MWANZA Comrade Jonas Lufungulo na katibu wa UVCCM MKOA WA MWANZA Comrade Dennis Luhende ,mjumbe wa baraza Richard Kashirimu na wajumbe wa kamati ya utekelezaji kwa pamoja wamekutana na wajumbe wa mabaraza ya kata kwa maeneo tofauti tofauti
Ziara hiyo imekuwa ya mafanikio kwa vijana wa magu kwa sababu imeongeza tija na mshikamano kwao
Umoja na mshikamano baina ya vijana na chama ,vijana na serikali,namna ya kuzipata frusa za vijana*na hamasa ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2019
Pia viongozi wa uvccm mkoa wametembelea kikundi cha vijana wajasilia mali wa mikokoteni(MATORORI)
Nakuwasaidia changamoto zilizo kuwa zinawakabili
KATIBU HAMASA ,CHIPKIZI ,SERA NA UTAFITI UVCCM MKOA WA MWANZA
Hussein Kimu
KUTUTANE KAZINI
MWANZA YA KIJANI INAENDELEA MTAA KWA MTAA





















No comments:
Post a Comment