Saturday, June 22, 2019

VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akijibu maswali yanayohusu Ardhi na Mipango Miji

Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula akijibu maswali yanayohusu Ardhi na Mipango Miji katika Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea jijini Dodoma.

Huu ni mkutano wa 15 na kikao Cha 50 Cha Bunge letu.

' Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga'

Imetolewa na
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Ilemela
Juni 21, 2019.




No comments:

Post a Comment