Sunday, August 11, 2019

Mhe Dkt Angeline Mabula atoa pole kwa wafiwa wote kufuatia ajali iliyotokea mkoani Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula atoa pole kwa wafiwa wote kufuatia ajali iliyotokea mkoani Morogoro siku ya Agosti 10, 2019.

Aidha anawataka waTanzania wote kuungana pamoja na  Rais Mhe Dkt John Magufuli katika kuwaombea na kuwasaidia majeruhi wote ili wapone kwa haraka ili kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Ilemela
Agosti 11, 2019.

No comments:

Post a Comment