Thursday, December 23, 2021

ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA MWANZA YA KUKAGUWA UJENZI WA MADARASA

 Kamati ya siasa mkoa wa Mwanza chini ya Mwenyekiti Dr Antony Diallo  ilijigawa katika makundi matatu  kwa lengo la kukaguwa ujenzi wa Madara ya Fedha za UVIKO19 zilizotolewa na Rais wa awamu ya Sita  Samia Suluhu Hassan mama wa Vitendo

Kundi lililo ongozwa na Mnec  Jamal Babu na Mwenyekiti UWT (M) Ma Helen Bogohe ,Katibu jumuiya ya wazazi  Zamda kamugisha na katibu wa Uhamasishaji na Chipkizi UVCCM (M) Ndugu Hussein A Kimu walitembelea wilaya ya Kwimba

Katika ukaguzi huo Mnec  Jamal Babu amewataka viongozi wanao simamia miradi hiyo ya ujenzi wa madarasa kukamilisha kwa mda uliopagwa na kuendelea kuhakikisha ubora na usimamizi wa fedha hizo


 













 

No comments:

Post a Comment