Friday, April 12, 2024

Baraza kuu la waisilamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida imemtunuku cheti cha pongezi Ndg. Ahmed Misanga

BismillahI alrahmani alrahim. 

Baraza kuu la waisilamu Tanzania 🇹🇿 (BAKWATA) Mkoa wa Singida  imemtunuku cheti cha pongezi Ndg. Ahmed Misanga kwa Kuendelea Kutoa Mchango wake kwa Watu wenye uhitaji Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,Ndg.Ahmed Misanga aliongoza RAMADHAN CHARITY PROGAMME 2024 , na kufikia zaidi ya Wahitaji 1500.  

JAZAKALLAH KHEIR






No comments:

Post a Comment