Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida
Ndg.Ahmed Misanga Akiwaombea Kura za Ushindi wagombea wa Chama cha Mapinduzi Nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu Hassan, Nafasi ya Ubunge Ndg. Elbariki Kingu na Nafasi ya Udiwani Ndg Malando Kata ya Iglansoni
Ikungi Magharibi
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KaziIendelee
#SSH
#CCM
No comments:
Post a Comment