Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Dkt,Idris Muslim Hija kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Bakari Haji Bakari kuwa Katibu Mtendaji wa
Bazara la Biashara la Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Biashara,Viwanda na Masoko,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bibi Salama Mbarouk Khatibu kuwa Mkuu wa Wilaya
yaMicheweni Pemba katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa
wa Kusini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Kapteni Khatib Khamis Mwadini kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Magharibi A.Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment