Anaandika Misanga
Tumechaguwa Siasa kuwa maisha yetu, Siasa hufanywa kila siku popote
ulipo, tumikia jamii, saidia jamii inayo kuzunguka katika maeneo yako
wape wananchi maskio na shiriki katika kazi za kijamii na kuwa pamoja na
jamii katika misiba na rahaa, jiamini na utambulike kama kiongozi wa
CCM popote ulipo, Kuwa picha ya CCM kwa wananchi, tumechaguwa Siasa sasa
tuitumikie nafasi yetu kila wakati kila muda, tusisubirie tu wakati wa
uchaguzi ndo tuwe wema kwa watu, Kuwa Mwema siku zote hii ndio njia peke
ya kujenga imani ya wananchi kukipenda CCM siku zote - kuwa Mtu wa watu
- #ChiefMisanga
No comments:
Post a Comment