Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa akimtolea
ufafanuzi wa zawadi ya kinyango Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha
kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam uku katibu Mkuu wa
(CCM) akishuhudia zoezi hilo,wakati wa hafla ya Chakula cha Jion
ilioandaliwa na kinana.
Katibu
mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza kabla
ya Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP)
Comred Chau Van Lam kukabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa wakati wa hafla ya Chakula
cha Jion.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza na balozi wa Vietnam Nguyen kim Doanh.
Wajumbe
wa Chama cha kikomunisti cha Vietnam (VCP) pamoja na Katibu mkuu wa
Jumuiya ya Umoja wa Wazaza CCM wa (pili toka kushoto) wakifuatilia
mazungumzo ya Katibu mkuu wa CCM katika hafla ya chakula cha jion.
No comments:
Post a Comment