Tuesday, September 19, 2017

Halmashauri ya jiji la Mwanza yachukua hatua za dharula kuweka mazingira safi.

Ofisi ya Mkurungenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza imeanza kufanyia usafi wa Kingo na mifereji ya mto Mirongo kwa kutumia greda na dhana za usafi kuanzia maeneo yote yanayozungukwa na mto ili kujinusuru na mlipuko wa magonjwa na mafuriko. HAPA KAZI TU!

No comments:

Post a Comment