Ndugu Joseph Sarara mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) na Katibu Tawi la Bohali Kata ya Butimba afariki Leo, Ratiba za mazishi zitatolewa au kwa wale walio maeneo ya karibu wasiliana na 0755155956. Tunawaomba wanachama tukitokezee.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMEN.
No comments:
Post a Comment