Katibu CCM Mkoa wa Mwanza akiingia Msibani nyumbani kwao na Hassani UVCCM mkoa wa Mara aliyefiwa na dada yake na kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele.
Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Katibu UVCCM Mkoa wa Mwanza na Katibu kata, Kata ya Mecco, wakiwa Msibani kwa Katibu UVCM Mkoa wa Mara Hassan Moshi aliyefiwa na Dada yake Pili
MUNGU AILZE ROHO YA MAREHEM AMEN
No comments:
Post a Comment