Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala akisalimiana na
baadhi ya Maofisa wa Uhamiaji wanaofanya kazi katika Kituo cha Uhamiaji
cha Mtukula mkoa wa Kagera alipofanya ziara kukagua Mpaka wa Tanzania na
Uganda ili kujionea utekelezaji wa majukumu ya Idara yake katika Mpaka
huo.
No comments:
Post a Comment