Mtoto mlemavu wa viungo kutoka kata ya Mandu amuomba Mbunge
jimbo la Nyamagana mhe Stanislaus Mabula amsadie ununuzi wa baiskeri
mpya ya magurudumu ili aweze kumudu kwenda shule na kumwezesha kufanya
Kazi zake za kila siku kwani hiyo aliyonayo imechakaa. Naye mbunge
amepokea ombi hilo na kuhaidi ofisi yake kulitekeleza katika muda mfupi.
Imetolewa na:-
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Nyamagana
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Nyamagana
No comments:
Post a Comment