Umoja wa vijana UVCCM Mwanza
ikishirikiana na Ofisi ya Mbunge
wa jimbo la Ilemela Mh DK Angelina Mabula. Unawaalika wapenzi wananchi, wakeleketwa na
wanachama wa CCM. UVCCM, UWT na Wazazi katika mapokezi rasmi ya mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu KHERI
JAMES na makamu wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu TABIA
MAULID MWITA.
Shughuli hii itafanyika
siku ya leo Jumanne tarehe 2
January 2018 katika uwanja wa CCM
Kirumba muda kuanzia saa 7 kamili Mchana.
Pia mapokezi haya
yatachagizwa na burudani mbalimbali, njoo tuchagize kwani huyu ni mwakilishi
wetu katika kamati kuu ya taifa. Wenye sare zao njooni kijani itapendeza Zaidi na kama ukikosa vaa
vazi lolote imladi usimukwaze mtu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
NYOTE MNAKARIBISHWA


No comments:
Post a Comment