TCRA kuanza usajili wa wamiliki wa Blog, Online Forums, Redio na Televisheni za Mtandaoni leo Aprili 21
Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa
wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja
na Televisheni za mtandaoni kuanzia leo Jumamosi Aprili 21, 2018.
No comments:
Post a Comment