Wednesday, May 30, 2018

WABUNGE WAMUAGA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA BUYUNGU

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwemo Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula jana katika viwanja vya Bunge wakiongozwa na Naibu Spika wa Bunge hilo Mhe Dkt Tulia Ackson jana Mei 29, 2018 kwa pamoja wameshiriki ibada ya kumuombea na kumuaga aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu marehemu Mwalimu Kasuku Samson Bilago aliyefariki Mei 27, 2018 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Marehemu Mwalimu Kasuku Samson Bilago anatarajiwa kuzikwa   kesho Alhamisi Mei 31, 2018


'Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe'





No comments:

Post a Comment