Hayo
yameelezwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa .Amesema
kuwa Treni hiyo huvuka ziwa Victoria kwa kutumia MV Umoja.
“Shirika
la Reli Tanzania {TRC} laanza kusafirisha mizigo kwenda Kampala Uganda
ikiwa ni miaka takribani 10 tangu usafiri wa mizigo kwenda Uganda
kupitia reli usitishwe. Treni hii huvuka ziwa Victoria kwa kutumia MV
Umoja.Hongera Serikali ya Awamu ya Tano,” ameandika Msigwa kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Msigwa ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Shirika la Reli Tanzania {TRC} laanza kusafirisha mizigo kwenda Kampala Uganda ikiwa ni miaka takribani 10 tangu usafiri wa mizigo kwenda Uganda kupitia reli usitishwe. Treni hii huvuka ziwa Victoria kwa kutumia MV Umoja.— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) June 22, 2018
Hongera Serikali ya Awamu ya Tano.#HapaKaziTu pic.twitter.com/E4Odw2BbUm

No comments:
Post a Comment