Wednesday, August 22, 2018

UVCCM Mkoa wa Mwanza Inawatakia Sikukuu Njema ya Idd el Hadj Waislamu wote na waTanzania Kwa ujumla

UVCCM Mkoa wa Mwanza inaungana na Waislamu  nchini leo na  katika nchi mbalimbali, kusherehekea sikukuu ya Idd el Hajj. 


Maadhimisho ya sikukuu hiyo kitaifa yanafanyika jijini Dar es Salaam. Pia  swala ya Idd leo hii itafanyika katika Uwanja wa Msiksti Tamaa uliopo Vingunguti na Baraza la Idd litafanyika hapo hapo baada ya swala hiyo.

UVCCM  Mwanza  Tunawatakia Sikukuu Njema Waislamu Wote Nchini 

No comments:

Post a Comment