M/KITI UVCCM TAIFA NDUGU KHERI DENIS JAMES AANZA ZIARA MKOA WA MWANZA
M/Kiti wa UVCCM Taifa Mh Kheri Denis James ameanza ziara
Mkoa wa Mwanza.Katika ziara hiyo M/Kiti Taifa ameahidI kutembelea wilaya zote za
Mkoa wa Mwanza ambapo leo Alhamis tarehe 20/9/2018 amewasili wilaya ya
Misungwi .
No comments:
Post a Comment