M/Kiti wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri Denis James Leo hii mbali na kutembelea miradi mbalimbali amewapokea wanachama wapya kutoka vyama vya Upinzani.
Moja ya watu waliohama kutoka upinzani ni Diwani wa kata ya Buhingo Ndugu Marco Kadala na Diwani wa kata ya Sumbuigu Ndugu Elikana Isanzu.
Tukutane Kazini
No comments:
Post a Comment