Wednesday, September 19, 2018

NYAMAGANA MPO TAYARI


 Ni final ya league daraja la NNE wilaya ya Nyamagana itakuwa Leo   katika viwanja Nyamagana kwanzia saa 9:00 alasiri na mgeni rasmi ni Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula " Mtoto wa Mjini".

Kwa wajanja wote, wapenzi wa Mpira wa Mguu "Soccer"  njoo wewe, Mimi,Wale, Sisi maana hii sio ya kukosa nani atachukua kombe tutajua baade  kipenga kitakapo pulizwa DK ya 90 hivi leo..

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana



No comments:

Post a Comment