Mjumbe baraza kuu uvccm taifa ndg Kashilimu Juma Richard ashiriki na watumishi wa serikali wa halmashauri ya Wilaya ya sengerema katika kufanya usafi wa soko na mitaro Wilayani sengerema
Hii ni siku maalumu iliyopangwa katika kuazimisha kumbukumbu za hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere
No comments:
Post a Comment