Ndugu Hussein A.Kimu katibu hamasa na chipkizi wa umoja wa vijana mkoa wa mwanza
Amewaasa viongozi waliohudhuria mkutano huo wa uchaguzi kulinda na kudumisha misingi ya maadili na uongozi wa chipkizi kwa kuwalea vizuri kiuongozi na kuwaendeleza kitaluma ,
Ndugu Kimu aliwaomba viongozi kuanzia ngazi ya tawi, kata na wilaya waanzishe vituo vya mafunzo ya taluma,Uzalendo na ukakamavu (Tuition center) ,
Mwenyekiti wa chipkizi wilaya ndugu Edsoni Charles aliyo maliza mda wake leo amekabidhi kijiti kwa mwenyekiti mpya 🤝🏻
Ndugu Shabani Abdallah🙏🏻 ambae aliwashukuru wajumbe kwa kumuamini na kumpa nafasi yakuwa mwenyekiti wa chipkizi wilaya ya Nyamagana aliwaahidi wajumbe
Kuwatumikia kwa waledi
TUKUTANE KAZINI

No comments:
Post a Comment