Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana anawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne pamoja watahiniwa wengine wa mitihani ya kidato cha nne wanaoanza kufanya mtihani yao leo katika jimbo la Nyamagana pamoja na nchi nzima. Ninamuomba Mwenyezi Mungu awakubushe yote mliyosoma na kufundishwa na walimu muda Wote mliokuwa darasani, pamoja na neema ya wepesi katika kujibu maswali yote ili tuwe na ufaharu tulioukusudia. Mhe. Mabula amesema.
Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana

No comments:
Post a Comment