Saturday, April 23, 2022

DR ANGELINE SL MABULA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA HAYATI J K NYERERE

 Mapema Leo Waziri wa Ardhi ,Nyumba na maendeleo ya makazi DR ANGELINE SL MABULA ( MB) wa Jimbo la Ilemela ameshiriki katika maadhimisho ya miaka 100 ya Hayati JK Nyerere 


Katika maadhimisho hayo yaliyohudhuliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wameaswa kuyaishi na kuyaendeleza mema yote aliyoyafanya Hayati JK Nyerere enzi za uhai wake 

#Kazi iendelee
#Nshimba Nkema kazini 
#Ilemela ni yetu tushirikiane kuijenga


No comments:

Post a Comment